Posts

Manispaa ya Ilala Jijini Dar, hupoteza takribani shilingi bilioni 2.9 kwa mwaka ambazo zinatakiwa kukusanywa kama kodi ya majengo.

Image
Manispaa ya Ilala Jijini Dar, hupoteza takribani shilingi bilioni 2.9 kwa mwaka ambazo zinatakiwa kukusanywa kama kodi ya majengo. Hii inatokana na Serikali kushindwa kulipia majengo yake na malumbano ya ndani ya Baraza la Madiwani wa halmashauri hiyo. Meneja wa Kodi ya Majengo wa Manispaa hiyo, Stella Mgumia, amekiri kutofuatwa kwa taratibu zote za msingi katika zoezi la ukusanyaji wa kodi hiyo. Amesema katika mwaka unaokuja wanatarajia kuwahamasisha madiwani ili waweze kuwahamasisha wananchi kulipa kodi ya majengo, ikiwani utekelezaji wa mipango ya halmashauri hiyo. Moja ya changamoto kubwa inayotajwa kuchangia tatizo hilo ni pamoja na baadhi ya wamiliki wa majengo hususani kuwepo kwa wazee wasiotaka kulipa kodi licha ya kumiliki majengo ya kibiashara. Imeelezwa kwamba wazee wanaopaswa kutolipia kodi ni wale wanaoishi kwenye majengo ya wasiyoyatumia kibiashara. Kutoka jamii forum Tanzania

;MAJINA YA WANAUME NA SIFA ZAO KATIKA MAPENZI

Image
 1. Dennis-mapenzi ya tamthiliya 2. Nicolas-muongo 3. Albert-domo zege ila mjanja mjanja 4. Mathias-anapenda mwanamke kwa muda mrefu 5. Joseph/Josephat-kicheche 6. Jeryson-anapenda mademu ila wanawake wanamkataa 7. Shadrack-anapenda sifa kwa mademu 8. Richard-ana wapenzi wengi ila msiri 9. Mathew-anapendwa na wanawake ila domo zege 10. Thomas-anapendwa na mademu ila hajatulia 11. Prosper-hajui habari za mapenzi 12. Fidelis-mtaalam wa kutongozea mademu wenzie(kuwadi) 13. Peter-maneno mengi ila vitendo sifuri 14. Christopher-wanapenda kutongoza hovyo ingawaje wana mpenzi mwaminifu 15. Elvis-Handsome ila hapendwi na mademu 16. Edward/Eddy -serious sana kwenye mapenzi 17. Moses/Mussa-mwepesi kutongoza na mwepesi kuwacha 18. Ally/Elly-wasiri sana kwenye mapenzi 19. Mohammed-anapenda watu waliomzidi umri 20. Nickson-wakiingia kwenye mapenzi wanatendwa vibaya 21.Frederick-anapenda sifa kwa wanawake ili apendwe 22. Jimmy-wana mapenzi ya kejeli 23. Elias-anapenda mademu ila anaogopa kuw...

HATIMAYE SHEKHE PONDA AACHIWA HURU

Image
mahakama ya hakim mkadhi ya morogoro imeamua kumuachia huru sheikh ponda baada ya mshtaki kushindwa kuleta ushahidi wa kina kuwa shehe ponda alitamka maneno ya kejeli na machafu kwa dini zingine zisizokuwa za kiislamu.

Njia 10 Zinazotumika Kukwepa Kodi Bandari ya Dar es Salaam

Image
  Wakati Serikali ikikunjua makucha yake dhidi ya wote waliohusika katika kashfa ya kupitisha makontena 349 kwenye Bandari ya Dar es Salaam bila ya kuyalipia kodi, imefahamika kuwa idadi hiyo ya makontena ni sehemu ndogo tu ya mamia ya mizigo yanayovushwa kinyemela kila uchao na kuikosesha serikali mabilioni ya fedha. Hata hivyo, wakati serikali ya Rais Magufuli na Waziri Mkuu wake, Kassim Majaliwa, ikiendelea kutafuta suluhu ya kudumu kuhusiana na ukwepaji kodi, imebainika kuwa kazi hiyo siyo lelemama kwani zipo njia zaidi ya tisa zinazotumiwa kukwepa kodi katika Bandari ya Dar es Salaam. Mosi , ni kupitia mwanya utokanao na mfumo wa zamani wa malipo usiohusisha ule wa sasa wa kielektroniki, maarufu kama ‘E-Payment’.   Kwamba, wafanyabiashara wengi hutumia mfumo huo wa zamani unaohusisha matumizi ya karatasi zilizojazwa kwa mkono na hivyo kuwezesha ujanja wa kubadili taarifa kwa manufaa ya mitandao ya wakwepaji wa kodi. “Tatizo lililopo ni kwamba mfumo wa E-Payment ni...

KUHUSU 9 DESEMBA KUTOKA IKULU;Rais Magufuli kaamua Bilioni zilizokua zitumike sherehe za uhuru 9 Dec matumizi yake yawe kama ifuatavyo

Image
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameamuru fedha zilizopaswa kutumika kugharamia shamra shamra za siku ya Uhuru ambazo zingefanyika tarehe 09 Desemba 2015, kutumika kufanya upanuzi wa barabara ya Mwenge hadi Morocco jijini Dar es Salaam yenye urefu wa kilometa 4.3 kwa kuongeza njia mbili za barabara za lami. Tayari fedha hizo kiasi cha shilingi bilioni nne zimepelekwa kwa wakala wa barabara hapa nchini TANROADS kwa ajili ya utekelezaji wa agizo hilo, linalopaswa kuanza mara moja Akizungumza na Mtendaji Mkuu wa TANROADS Mhandisi PATRICK MFUGALE Ikulu Jijini Dar es Salaam, Dkt. Magufuli ametaka ujenzi wa barabara hiyo uanze haraka ili kukabiliana na adha ya msongamano wa magari katika barabara hiyo Kujengwa kwa njia hizo kutaifanya barabara ya Morroco hadi Mwenge kuwa na njia tano.   Wakati huo huo, Rais John Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti Mstaafu wa Chama Cha wananchi (CUF) Prof. Ibrahim Lipumba Ikulu Jijini Dar...

LEE MIN HO,MKALI WA CITY HUNTER ANAYE MUHUSUDU RONALDO

Image
                                                               Anajua kupendeza,ana pesa na amesoma,anapiga huyoo ni hatari sana.Alizaliwa mji mkuu wa korea kusini,seoul mwaka 1987 june 22.Anaitwa LEE MIN HO,mkali wa tamthilia ya CITY HUNTER na BOYS OVER FLOWER. Akiwa mdogo,ndoto yake ilikuwa kuwa mcheza mpira maarufu.Alichaguliwa kujiunga na kituo cha vijana cha mpira wa miguu nchini korea kusini lakini ndoto zake zilipotea baada ya kuvunjika mguu akiwa daraja la tano la elimu ya awali.Kwake mchezaji bora wa zama hizi ni CHRISTIAN RONALDO wa Real Madrid,anamkubali sana na anaamini kama asingeumia basi angekuwa kama yeye.Alianza kuigiza akiwa mwaka wa pili wa high school. Mwaka 2006 alipata ajari mbaya ya gari iliyomlaza wodini kwa muda mrefu. Miaka ya mafanikio(2009-2012) Mwaka 2009 alicheza tamthlia ya BO...

PICHA ZA TUKIO ZA INSTAGRAM PARTY TANZANIA JIJINI DAR ES SALAAM ESCAPE ONE

Image
Freconic Ideaz gives you an Opportunity to Experience Instagram into real life. Join the fun to get Connected and Entertained. Tonight at Escape One - Mikocheni we will giving you the best of all times