Posts

Showing posts from October 3, 2015

Baada ya kushinda Kesi ya UBAKAJI, flóra mbasha amapandisha Tena mumewe mahakamani Kwa Hili ..

Image
SIKU baada chache kushinda ya Kesi ya tuhuma za kubaka iliyokuwa ikimkabili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, mwimbaji wa muziki wa Injili, Emmanuel Mbasha anatarajiwa kupandishwa Tena katika korti hiyohiyo Kwa Madai mengine, Risasi Mchanganyiko iomlána habari Lina. Mwimbaji wa muziki wa Injili, Emmanuel Mbasha. Akizungumza na gazeti Hili hivi karibuni Kwa sharti la kutotajwa Jina, wa watu wa mmoja karibu na wanandoa Hao, alisema Flóra amefungua Kesi ya Madai ya talaka katika Mahakama ya Kisutu na kwamba muda si mrefu shauri HILO litaanza kusikilizwa. "Flóra ameenda mahakamani kudai talaka Yake, hiyo Kwa Kesi inatarajiwa kuanza kusikilizwa muda wowote kuanzia Sasa," alisema mtoa habari huyo.Baada ya hizo taarifa, mwandishi wetu alimtafuta Mbasha Kwa njia ya Mobile na kumuuliza Barr ya Madai hayo, ambapo alikiri na kudai anajiandaa kukabiliana na shitaka HILO. "Yeah, ni kweli Kaka, Flóra ameamua kwenda mahakamani kudai t...

Ali Kiba na Hasheem wagongana kumuoa Jokate! Mkasa upo ha

Image
m astaa katika category tofauti, Ali Saleh Kiba na Mtanzania anayecheza mpira wa kikapu nchini Marekani (NBA), Hasheem Thabit Manka, wanadaiwa kuchuana vikali kila mmoja akiwania kumuoa mwanamitindo Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ huku mama mzazi wa mrembo huyo akitia ngumu, Risasi Jumamosi linaweza kuripoti. TAARIFA ZA AWALI Habari za awali, zilizovujishwa na mtoa taarifa wetu ambaye ni rafiki wa karibu na familia ya Jokate, juzi Jumatano zilieleza kwamba, kwa sasa kuna vita baridi kati ya Hasheem na Kiba kwa kila mmoja kutumia njia mbadala ili kuhakikisha anamuweka kibindoni mrembo huyo. MPASUKO NDANI YA FAMILIA “Lakini wakati hilo likiendelea, kuna taarifa kwamba kuna mpasuko kwenye familia ya Jojo (Kidoti). Inasemekana mama wa mrembo huyo anampa nafasi kubwa Hasheem. “Lakini kwa upande wake, Jokate amekuwa akimnadi Kiba, jambo linalozua mpasuko mkubwa kwa familia hiyo,” kilinyetisha chanzo hicho. Chanzo hicho kilishusha madai mazito kwamba, hivi karibuni baada ya ...

KAULI Ya kwanza ya Nay a mitego baada ya kuvamiwa na majamba

Image
Baada ya kuvamiwa nyumbani kwake Nay wa Mitego amefunguka haya "Niaje watu wangu!? Siko poa siku nzima ya leo. Nilitaka nikae kimya nisiongee chochote but nimeona itakua si sahihi sababu naweza nikawa naendelea kufuga matatizo... Sipo Dar nina 2weeks. Usiku wa kuamkia leo kuna watu wasiojulikana wamevamia nyumbani kwangu Kimara, walikua wamevaa Mask (Ninja) wakati wanahangaika kukata nyaya za fen s alarm ikawa inapiga kila wakati. Wakaona wapande juu ya mstimu ili wakate umeme nyumba nzima ndo waingie, but Majilani zangu ndio wakaamua kutoka na kuwaitia kelele za mwizi. Walifanikiwa kukimbia, walikua na gari aina ya LandCruser nyeusi but haikua na Plate Number.. Nashukuru Mungu familia yangu ipo salama na awakufanikiwa kutimiza walilotaka kufanya. Taarifa zipo Police tayari, Kama ni Wezi, Majambazi au Walitumwa all the best endeleeni.!! Nawapenda wote mnao nipenda ata mnaonichukia pia. Sote ni watoto wa bab