Posts

Showing posts from January 26, 2016

Baada ya kutemwa na kocha wa Spurs hii ndio klabu aliyojiunga nayo Emmanuel Adebayor …

Image
Mshambuliaji wa kimataifa wa  Togo  aliyewahi kuvichezea vilabu vya  Arsenal ,  Man City na baadae  Tottenham Hotspurs   Emmanuel Adebayor  alikuwa hana timu kwa miezi kadhaa sasa, baada ya kocha wa klabu yake ya  Tottenham Hotspurs   Mauricio Pochettino   kumuondoa katika mipango na kikosi chake kitakachoshiriki mashindano tofauti, licha ya kuwa alikuwa analipwa kama kawaida. January 26 mitandao ya soka ya  Uingereza  imethibitisha  Adebayor  kujiunga na klabu ya  Crystal Palace  ya  Uingereza ,   Sky Sport   wamethibitisha staa huyo kujiunga na klabu hiyo hadi mwishoni mwa msimu.

Kesi ya Sugu Kumnyang'anya Mtoto Faiza limetinga Hadi Bungeni Haya ndio Yaliojiri

Image
Faiza Ally ambaye ni Mzazi Mwenzie na Mbunge wa Mbeya Mh Joseph Mbilinyi Almaarufu kama Sugu ambaye walingia mahakamani kusuluhisha kesi baina yao kuhusu mtoto wao ambapo kwa siku moja tu kesi ili rindima na hukumu ikatolewa kuwa Mh Sugu achukue mtoto kwa madai kuwa Faiza hawezi kumlea mtoto kimaadili.Hili swala limetinga hadi Bungeni na moja ya wabunge waliolivalia Njuga swali hili ni Waziri wa Fedha Mh Saada Mkuya nina video hapa chini mwisho kabisa. Mwingine alitaka kumsaport Mh Sugu kwa kitendo hicho ni Mh Kafulila kuwa alichofanya Mh Sugu ni sahihi ni Mh Kafulila ambaye alipizibw mdomo na Spika wa Bunge Anne Makinda Nin Video yao hapo chini  Kwa ushahidi kidogo nina picha za Faiza akiwa na mtoto wake nyumbani kwake  Na Video kutoka Bungeni hii hapa 

Hii ndio post ya Alikiba iliyomfanya Wema kupata pongezi za kuhisiwa mjamzito

Image
Stori zote kubwa mtu wangu wa nguvu unaweza kuzipata hapa hapa kwenye millardayo.com iwe usiku au mchana, lakini post za mitandao ya kijamii zenye uzito pia huwa nazisogeza kwako mtu wangu wa nguvu.Usiku wa January 26 staa kutoka kiwanda cha Bongo Fleva Alikiba alipost picha katika account ya Instagram akiwepo Wema Sepetu huku mrembo huyo akiwa kashika tumbo lake kama kuashiria kuwa kuna kitu, kwa upande wa mashabiki wakaanza kutoa pongezi za kuwa mjamzito, licha ya kuwa hajasema kitu chochote. ishaaniz @wemasepetu  Allah akutangulie Dadangu am so happy Wallah for I wish could see u n hug u tyt BT am al be praying for u my dia Allah akuepushe na hasad In shaa Allah agselestine Sijawahi.. Furahishwa Kama ninavyozidi furahishwa na tendo hilo LA wema aisee.Duuu.. Amazing hats naandika kitu insta yaan Daaa beib___cecy hahahaha mungu sio mjomba wa mtu mungu akushindie tunakuombea kpnz chetu  @wemasepetu fundi_ujenzi_ nulikuwaga naingoja kwa hamu sana siku kama hii! ahs...