;MAJINA YA WANAUME NA SIFA ZAO KATIKA MAPENZI




 1. Dennis-mapenzi ya tamthiliya 2. Nicolas-muongo 3. Albert-domo zege ila mjanja mjanja 4. Mathias-anapenda mwanamke kwa muda mrefu 5. Joseph/Josephat-kicheche 6. Jeryson-anapenda mademu ila wanawake wanamkataa 7. Shadrack-anapenda sifa kwa mademu 8. Richard-ana wapenzi wengi ila msiri 9. Mathew-anapendwa na wanawake ila domo zege 10. Thomas-anapendwa na mademu ila hajatulia 11. Prosper-hajui habari za mapenzi 12. Fidelis-mtaalam wa kutongozea mademu wenzie(kuwadi) 13. Peter-maneno mengi ila vitendo sifuri 14. Christopher-wanapenda kutongoza hovyo ingawaje wana mpenzi mwaminifu 15. Elvis-Handsome ila hapendwi na mademu 16. Edward/Eddy -serious sana kwenye mapenzi 17. Moses/Mussa-mwepesi kutongoza na mwepesi kuwacha 18. Ally/Elly-wasiri sana kwenye mapenzi 19. Mohammed-anapenda watu waliomzidi umri 20. Nickson-wakiingia kwenye mapenzi wanatendwa vibaya 21.Frederick-anapenda sifa kwa wanawake ili apendwe 22. Jimmy-wana mapenzi ya kejeli 23. Elias-anapenda mademu ila anaogopa kuwaambia 24. Frank-huyu mpole, hajui kudanganya, wanawake wanajitongozesha wenyewe 25. Joachim-hana habari na nademu, anaamini ipo siku ataoa tu 26. Benjamin-anapenda achape tu atembee 27. Steven-hana habari kabisa na wanawake ila ana bahati ya kupendwa 28. Gerald-mpole na antulia na mpenzi mmoja kwa mda mrefu 29. Elisha-anapenda wanawake wanaochukiwa katika jamii 30. Benard-akipenda kapenda 31. David-hawa kazi yao ni kuchafua wanawake wa mtaani na jamii inayozungukwa 32. Davis-anapenda sehemu sahihi lakini uacha na kupotea pabaya. 33. Daniel-ana maneno mengi sana na ni muongo 34. Samwel-mpole na ni mnyenyekevu kwa mpenzi wake . 35. William-mstaarabu kwa mpenzi wake na ni mtulivu 36. Gilbert-hatulii nyumbani . 37. Adam/Paul-Mtulivu kwa mpenzi 38. Mbaraka-msaliti 39. Godfrey/Octavian-mlevi na hasikii akishauriwa anapenda michepuko. 40. Emmanuel-anapenda wanawake wa watu 41. George-anapenda wanawake wenye makalio makubwa 42. Bonny-anapenda vibibi na wanawake waliozaa kabla ya ndoa 43. Donald- anapenda sala na ni mchamungu

Comments

Popular posts from this blog

Ang'atwa na Nyoka Akizini na Mke wa Mtu Kichakani

Kubenea Aibua Ufisadi wa Billion 1.2 Kupitia Ufuaji wa Majoho ya Madiwani

Tundu Lissu Ajibu Mapigo.......Asema Mwenye Richmond ni Rais Kikwete Mwenyewe