Posts

Showing posts from November 24, 2015

siku ya usafi;Hatimaye kazi yao waipendayo imepata siku maalum,ni desemba 9 watepewa portion kubwa zaidi

Image
hahahahaha hatari sana

Familia ya Alphonce Mawazo na CHADEMA Washinda Kesi ya Pingamizi la Polisi, Sasa kesi ya Msingi kusikilizwa

Image
Jaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza, Lameck Mlacha, ametupilia mbali mapingamizi yaliyowekwa na RPC wa Mwanza na Mwanasheria Mkuu wa Serikali dhidi ya kesi iliyofunguliwa jana na familia ya Marehemu Alphonce mawazo kuomba tafsri ya mahakama baada ya jeshi la polisi mkoani Mwanza kupiga marufuku mikusanyiko ya kuuaga mwili wa marehemu.  Katika mapingamizi hayo, mwanasheria mkuu wa serikali  alidai kuwa mleta maombi ambae ni Baba mdogo wa Mawazo hana uhalali wa kisheria wa kuleta maombi hayo mahakamani  kwa kuwa yeye si baba mzazi wa marehemu, na kuwa hajaleta hoja za kubishaniwa kwenye maombi hayo. Upande wa utetezi unaoongozwa na mawakili John Mallya, James Millya na Paul Kipeja ulijibu hoja hizo kuwa katika hatua hiyo masuala ya kubishaniwa hayana sababu ya kuletwa kwa kuwa ni hatua ya awali sana. Kuhusu uhalali wa kisheria wa baba mdogo wa marehemu, majibu yalikuwa kwamba baba mdogo kwa kuwa ndiye aliemlea Marehemu Mawazo, anayo mamlaka na uhala...

GOSSIP;RIHANNA KUDONDOSHA ALBAMU MPYA NOV 27

Image
Taarifa zisizo rasmi zinasema kuwa album mpya ya Rihanna ‘‘Anti World Tour’ inatarajiwa kutoka  Ijumaa hii Novemba  27 mwaka huu..  Album hiyo ya nane itatoka exclusively kupitia mtandao wa Jay Z, Tidal mpaka Dec 4 ndio itaanza kupatikana kwenye platform tofauti tofauti ..

Hizi ni baadhi ya tweets za wakenya kuhusu raisi John Pombe Mgufuli

Image
Hizi ni baadhi ya tweets za wakenya: Magufuli akuje atoe Uhuru lock juu ye ni Pombe. ? Dan Did It? (@Danielki_) November 23, 2015 Uhuru Kenyatta needs to borrow a leaf from his fresher counterpart in Tanzania Magufuli!!! ? Fifi (@Sly_lis) November 23, 2015 Magufuli less than amonth in office vs Uhuru more than 2.5 yrs in office. #StateOfTheNation   ? SHADRACK MUSYOKI (@Shadie_Musyoki) November 23, 2015 #StateOfTheNation  magufuli went into action mood 2nd day in office,3 years down the line,uhuru is still forming committes to tell him to act ? TeamMafisi Pope (@MafisiPope) November 23, 2015 Pres. Uhuru has been talking since 2013, Pres. Magufuli has been ACTING since 3 weeks ago. More fruits in 3 weeks action than 3yrs talk. ? Collins BETT, Esq. (@CollinsFabien) November 23, 2015 As Tanzanians wake up to what Magufuli has done, Kenyans wake up to what Uhuru has promised @Ma3Route ? Muthui Mkenya (@Muthu...

MCHAKATO WA SERIKALI KUNYANG’ANYA MASHAMBA NA VIWANJA WAANZA

Image
Mchakato wa kunyang’anya mashamba na viwanda kutoka kwa wamiliki walioshindwa kutekeleza masharti waliyopewa na Serikali umeanza.  Taarifa tulizozipata zimeeleza kuwa miongoni mwa mashamba na viwanda hivyo ni kutoka mkoani Morogoro, Lindi, Arusha, Mbeya, Tanga, Kilimanjaro na Dar es Salaam.  Wiki iliyopita, Ofisi ya Msajili wa Hazina ilitoa tangazo kwa wawekezaji walionunua viwanda na mashamba ya Serikali ikiwakumbusha kurejea kwenye mikataba yao.  Taarifa hiyo iliyosainiwa na Msajili wa Hazina, Lawrence Mafuru (pichani) ilieleza kuwa inarejea mikataba yote ya mauzo ya viwanda na mashamba iliyoingiwa kupitia Mpango wa Ubinafsishaji na kwamba kuna wawekezaji wamekiuka masharti ya mikataba yao.  Miongoni mwa masharti hayo yaliyokiukwa ni kutoendelezwa viwanda na mashamba kwa mujibu wa mikataba, kushindwa kutekeleza mpango wa uwekezaji, baadhi ya wanunuzi kuuza mashine walizozikuta bila kurudisha mashine mbadala, kutokamilisha malipo ya ununuzi wa...

BONGO MOVIE TANZANIA;SABABU ZA AUNT EZEKIEL KUMUACHISHA ZIWA MWANAE KABLA YA MUDA

Image
Msanii wa Filamu hapa nchini, ambaye amepata bahati ya kupata mtoto na dancer wa msanii Diamond Plutnumz anae tambulika kwa jina la Mose Iyobo,  Aunt amefunguka na kueleza kilichopelekea kumuachisha ziwa mtoto wake anae fahamika kwa jina la Cookie Akieleza kinagaubaga kuhusu suala hilo Aunt EZekiel amesema, kipindi cha kampeni alikuwa anatembelea maeneo mbalimbali jambo lililopelekea kuwa mbali na mtoto wake, alivyomaliza shughuli za kampeni alishauriwa kumuachisha mwanae kutokana na maziwa yake kutotosheleza kumnyonyesha mtoto wake.

vituko;Jaman mkaangalie mlipopigia kura uone jina lako umepangiwa kufanya usafi wap

Image
Hahahaha utani mwingine bhanaa hatari sana... vingine furahia tu

diamond aongoza list ya wasani 15 bora afrika kutoka gazeti la africani muzik magazine

Image
Ni the platnum tena kwenye headlines...jarida la AFRICAN MUZIK MAGAZINE limemtaja DIAMOND kuwa msanii bora zaidi ndani ya bara la africa mwaka 2015. kutoka Tanzania mdada VANESA MDEE ameshika nafasi ya kumi na mbili wakati DAVIDO amekuwa wa nne nyuma ya WIZKID na OLAMIDE.       

Magufuli Tafadhali Tuondolee Mbio za Mwenge, Hazina Faida Kwa Taifa zaidi ya Kutafuna Mabilioni Kila Mwaka

Image
Tarehe 27 mwezi May, mwaka 2014 siku ya Jamanne majira ya saa 4 asubuhi, kwenye kipindi cha maswali na majibu, Naibu waziri wa habari vijana, utamaduni na michezo Juma Nkamia alieleza makadirio ya gharama za kukimbiza Mwenge wa Uhuru nchini. Nkamia alisema "serikali kuu hutenga kiasi cha fedha kulingana na mahitaji na gharama halisi ya wakati husika.. Mwaka 2012 jumla ya shilingi Bilioni 43 zilitumika ambapo kati ya hizo Bilioni kumi na moja (11) zilitengwa na serikali na Bilioni 32 zilichangwa na mashirika, taasisi, makampuni na wadau mbalimbali walioombwa kuchagia kwa ajili ya kuadhimisha uzinduzi na kilele cha mbio za mwenge wa uhuru." Taarifa zinaonesha kuwa mwaka 2014 inakadiriwa jumla ya Shilingi Bilioni 120 zilitumika kama gharama ya kukimbiza Mwenge nchi nzima. CALCULATION. Bilioni 120 zinazotumika kukimbiza mwenge nchini (mwaka huu huenda zikaongezeka), zinatosha kufanya yafuatayo; 1. Kununua mashine 60 za MRI na CT Scan kwa ajili ya kuhudumia wag...

PICHA TATA ZA REY THE GREAT AKA RAY KIGOSI AKIWA NA WEMA SEPETU

Image
Ray na sepetu tena,baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu wawili hawa wameamua kutupia picha ya pamoja.enjoy the photo kwa fans wote wa bongo movie karibuni tena