Posts

Showing posts from May 18, 2015

Mzee kajeruhi watu 2 kwa risasi, watu nao wakamvamia nyumbani kwake >#Hekaheka

Image
Hekaheka ya leo inatoka Mtoni Mashine ya Maji ambako kuna nyumba za kota za wafanyakazi wa DAWASCo Dar, inahusu mzee mmoja ambae aliwapiga risasi watu wawili na kuwajeruhi.. watu hawakupendezwa na kitendo hicho, wanasema sio mara ya kwanza mzee huyo kutishia watu risasi. Baadhi ya watu waliona wafanye maamuzi magumu, wakavamia nyumba ya mzee huyo na kuichoma gari yake moto, wengine walitaka kuichoma na nyumba yake pia… ilibidi kikosi cha Askari kufika na kutumia mabomu ya machozi pamoja na kupiga risasi hewani ili kumuokoa mzee huyo. Kwa sasa mzee huyo anashikiliwa na Polisi.. Mashuhuda wamesema kisa cha mzee kuwapiga risasi vijana hao ni ishu ya kutopenda kelele wala hataki kelele jirani na nyumba yake. Watu wengine waliingia mpaka ndani na kuiba vitu pamoja na kufanya uharibifu mkubwa.. Hata baada ya Askari kufika kumuokoa bado watu waliendelea kushambulia ili wamkamate mzee huyo, Polisi ikabidi watumie mabomu ya machozi pamoja na kupiga risasi hewani ili k...

Download New Hit Maua Sama ft Ben Pol - This Love.

Image
    Staa Maua Sama ameachia single yake mpya aliyo mshirikisha Hit maker wa single ya Sophia anayejulikana kama Ben Pol na single imefanyika chini ya Producer Duke iko hapa chini Bonyeza kwenye Neno Download hapo chini DOWNLOAD