Posts

Showing posts from June 6, 2015

Siri Ya Diamond Kupendwa Na Wadada Yavuja, Ukweli Wote Utaupata Kwenye Video Hii

Image
Diamond Platnumz Last week in DUBAI!!...After you watch this video you will get the concept why Diamond Known as "Sukari ya warembo"!!   PICHA ZA NAY NA SHAMSA BAADA YA KUACHIKA BONYEZA HAPA KUZIONA In case you’re wondering what I’m yapping about, I’m just here trying to poke my business in Zari’s Hassan relationship with her tomboy Diamond Platnumz. Uganda exposed has stumbled upon something very interesting, something that might make or break their relationship. We suspect that Zari Hassan is being taken for a ride; yes we have seen Diamond showing his romantic side over and over again professing his love and even carrying her bags but it might all be a gimmick. He’s actually a cheat, and Zari Hassan is one of his preys. The following messages involve him chatting with a certain kenyan girl where he goes ahead to ask for her photos even sharing his email address for the girl to send them

WEMA SEPETU live akiwa kitandani na Bwana 'ke LINAH

Image
    Staa mkali wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu akiwa na aliyewahi kuwa bwana’ke (Linah), Nangari Kombo kitandani. Staa wa Bongo Fleva almaarufu Ndege Mnana, Esterlina Sanga ‘Linah’, amedai kunasa ‘live’ tukio la mkali wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu akiwa kitandani na aliyewahi kuwa bwana’ke (Linah), Nangari Kombo ambaye alipata umaarufu mwaka 2010 alipoingia kwenye Uwanja wa Taifa, Dar na kumkumbatia Mchezaji wa Brazil, Ricardo Kaka kwenye mechi ya kirafiki kati ya timu hiyo na Taifa Stars. KUMBE PIA ALIKUWA MENEJA Habari za kidaku zilidai kwamba, jamaa huyo ambaye amedumu na Linah kwa takriban miaka minne, pia ndiye alikuwa meneja wa msanii huyo ambaye alimsaidia mchakato wa kutengeneza video ya wimbo wake wa Ole Temba iliyofanyika nchini Afrika Kusini ‘Sauzi’. Estelina Sanga ‘Linah’ katika pozi la kimahaba na mpenzi wake Nagari Kombo. Ilifahamika kuwa Wema ambaye hivi karibuni alidai kufunga ndoa ‘hewa’ amekutwa na skendo hiyo ikiwa ni...

Sina mpango wa kucheza Afrika _Sammata

Image
Brez News Blog Mbwana Samatta MSHAMBULIAJI wa Tanzania anayecheza soka la kulipwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo katika timu ya TP Mazembe, Mbwana Samatta amesema iwapo ataondoka katika timu hiyo hana mpango wa kucheza katika timu yoyote Afrika. Akizungumza Dar es Salaam juzi Samatta alisema hatarajii kucheza timu nyingine iwe Afrika Kusini au nchi yoyote ya Afrika zaidi amelenga Ulaya ambapo amekuwa akipata mialiko mingi ya kwenda kufanya majaribio. Samatta, ambaye ameondoka na kikosi cha Taifa juzi kwenda Ethiopia kwa ajili ya kambi alisema amekuwa akipata simu nyingi kutoka kwa mawakala wa Ulaya hivyo anategemea baada ya TP Mazembe atakwenda kucheza Ulaya. “Barani Afrika hakuna timu kubwa kama TP Mazembe hivyo nitakapoondoka kule manaake nataka nikacheze Ulaya na baada ya miaka 20 nitakuwa nimefikisha kile ninachokikusudia,” alisema. Alizungumzia kuhusu kushindwa kwenda kucheza Urusi Samatta alisema ni kwa vile hakutimiza kil...