Posts

Showing posts from September 23, 2015

BASATA Yatoa Siku 7 Kwa Wamiliki wa Blogs, sound cloud, U-Tube , ITunes, Radio na Tv Kufuta Nyimbo za Wasanii Zenye Kukiuka Maadili

Image
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) linawaagiza wasanii, wamiliki na waendeshaji wa wavuti, tovuti na vyombo vya habari hususan radio na runinga kuondoa na kuacha mara moja kurusha au kutangaza au kucheza nyimbo zote zenye maudhui ya kashfa, matusi, kejeli, udhalilishaji ambazo zinahatarisha kuigawa jamii ya kitanzania katika misingi yoyote hasa katika kipindi hiki Taifa linapoendelea na kampeni za kisiasa na kujiandaa na uchaguzi mkuu. Kwa mujibu wa kifungu namba 118 (a-d) cha Sheria ya Bunge namba 9 ya Mawasiliano ya Mtandao ya mwaka 2010 ni marufuku kwa njia yoyote kwa mtu au chombo chochote kutengeneza, kuzalisha, kusambaza au kutangaza ujumbe ambao una mlengo wa matusi, dharau, uzushi au jinai kwa lengo la kutukana, kutisha, kusumbua au kushusha hadhi ya mtu mwingine. Aidha, Sheria ya Bunge namba 4 ya Makosa ya Mtandao ya mwaka 2015 kifungu cha 45 (1) (a-c) kinatoa mamlaka kwa taasisi au mtu yeyote anayebaini uvunjifu wa Sheria katika mitandao ku...

Suluhisho rahisi kwa wanaodhani wamepungukiwa nguvu, wanaosumbuka kurudia tendo au kuwahi kufika

Inavyoonekana siku hizi japo kweli kuna tatizo la upungufu wa nguvu za kiume haswa kwa mazingira ya mijini, Lakini hili tatizo linaonekana kukuzwa kuliko lilivyo hadi imepelekea woga mkubwa kwa baadhi y awatu . Kwa kuanzia yafuatayo yaweza kusaidia kuboresha kulifurahia tendo la ndoa zaidi na kwa muda zaidi. Kuuweka Mwili vizuri: Ni wazi kuwa tendo hili linachagiwa sana na mzunguko mzuri wa damu. Mwili ukiwa kwenye hali nzuri kiafya na tendo huwa linaenda ipasavyo. Na mwili ukiwa dhoofu basi tegemea tukio dhoofu pia. Hivyo ukitaka kuwa na matokeo mazuri kwenye ndoa yako, jitahidi sana kujiweka vizuri kwa kula sahihi na kufanya mazoezi mepesi mepesi tu kwa wale wanaoweza kuutumia muda vizuri wapiti pite Gym walau siku mbili na kuendelea kwa wiki. Kufahamu kuwa kupumzika kwa uume baada ya baada kufika mara ya kwanza sio tatizo. Kwa wanaume walio wengi, baada ya mshindo wa kwanza hupumzika kidogo kabla ya kuendelea na awamu nyingine. Japo kuna ambao wana ...

Faida muhimu zinazopatikana katika kufanya Meditation/Taamuli (Kisaikolojia)

Image
"Ukiwa kwenye taamuli unaona kilichokuwa kinaendelea akili mwako wakati wote." - Allan Lokos Watu wengi wamekuwa wakijifunza meditation tangu karne na karne, miaka na miaka. Sio kitendo kilichoanza hivi sasa bali ni kitendo kilichoanza tangu zamani na kimekuwa na faida mbalimbali kwa watu waliojifunza na kufanya taamuli. Wengine ni kutokana na kupunguza stress, kujifunza kuongoza akili zao, kuachana na mazoea wanayoshindwa kuyaacha na kutokana na kuongeza hekima ya kiimani. Ningependa kuelezea faida chache nzuri ambazo zinapatikana pale mtu anapofanya taamuli vyema na kwa mara kwa mara. 1. Taamuli (Meditation) inasaidia kutengeneza furaha ya ndani. Tunaposema furaha ya ndani tunamaanisha nini? Ni furaha unayotembea nayo wakati wote, ni furaha isiyotegemea maisha yako yapoje, ni furaha isiyotegemea una vitu gani bali ni furaha inayopatikana ndani mwako. Wengi hupata furaha kutokana na hali na vitu, na kipindi cha...

Sheria Kuu Kumi za Ulimwengu na Akili (10 Laws of the Mind and Universe/Universal Laws)

Image
Ni kutoka katika Jitambue Sasa. Unaweza ukaziita Ni KANUNI AU SHERIA AU LAWS. Akili ya mwanadamu ni sehemu ambayo watafiti wengi wamekuwa wakihamasika kuielewa. Akili ni sehemu pana sana kwa mwanadamu. Ni sehemu ambayo haionekani wala haishikiki lakini ina matokeo makubwa sana kwa mwanadamu. Akili imezaa vitu vilivyotengenezwa na mwanadamu, mawazo, imani, misimamo n.k. Kama unapenda sana kujifunza na kufahamu mengi lazima utakuwa unatamani kufahamu siri kuu za akili. Kuelewa siri kuu za akili ni kufahamu Sheria ambazo zinaiongoza akili. Katika mada hii utapata kuona mwanga kuhusiana na akili na kuweza kujifahamu vyema. SHERIA/KANUNI HIZO NI: Sheria ya Chanzo na Matokeo Sheria ya Uhuru wa Kufikiria Sheria ya Umakini/focus Sheria ya Mawazo Sheria ya Ubinafsi Sheria ya Uumbaji Sheria ya Hisia Sheria ya Ubadili Sheria ya Usawa wa Akili Sheria ya Kutokea.Nini maana ya Sheria za Akili? Mapinduzi makuu ya sasa ni ufuatiliaji wa...

Herufi ya mwanzo ya jina lako inabeba tabia yako

Image
Hapa ni kwa uchache tu HERUFI A Mwenye jina linaloanziana na herufi A ni mtu anayependa mambo makubwa, anajiamini na mwenye uwezo wa kutimiza malengo yake. Ni mtu mwenye tahadhari, mchangamfu na mpenda matukio. Anapenda Kuheshimiwa, anapenda Mamlaka, na ana kiburi, na hasira. HERUFI B Mwenye jina linaloanziana na herufi B ni mtu, mkarimu, muaminifu, na hupenda kazi. Ni Jasiri, shujaa na mkatili katika vita au pale anapotaka kulinda vilivyo katika himaya yake. HERUFI C Mwenye jina linaloanziana na herufi C ni mtu wa kukubadilika badilika, mshindani na hupenda kupigania malengo yao wanayopenda. Ni watu wa wabunifu na wanaopenda mawasiliano. HERUFI D Mwenye jina linaloanziana na herufi D ni mtu anayependa usawa, Biashara. Ni watu wanaopenda kuamrisha na mwenye kupenda usafi. Ni jeuri na wenye msimamo. HERUFI E Mwenye jina linaloanzia na herufi E ni mtu mwenye roho nzuri ,yenye mapenzi na huruma. mwenye kupenda uhuru katika ...

Picha 11 nje ya Mahakama baada ya Mwimbaji wa Gospel Emmanuel Mbasha kushinda kesi ya kubaka…

Image
September 21 2015 moja ya stori kubwa iliyogusa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania ni ishu ya Hukumu ya kesi ya Mwimbaji wa Gospel Tanzania, Emmanuel Mbasha  ambapo alikuwa anakabiliwa na Kesi ya kumbaka shemeji yake na kesi imekuwa Mahakamani tangu mwaka 2014. Stori kwenye Ukurasa wa 5 Gazeti MWANANCHI , September 21 2015 . Tayari hukumu ya Kesi hiyo imetolewa Mahakama ya Wilaya ya Ilala Dar es Salaam leo, Mwimbaji huyo ameachiwa huru baada ya Mahakama kumkuta hana hatia kwenye Kesi hiyo. Emmanuel Mbasha akiwa amepiga magoti huku akitokwa machozi nje ya Mahakama ya Ilala, Dar es Salaam baada ya Hukumu kutolewa . Hizi hapa Picha nje ya Mahakama ya Ilala baada ya Hukumu kutolewa Mahakamani na  Emmanuel Mbasha  kutoka nje ya Mahakama.

SURA YA MTOTO WA DIAMOND PLATINUMZ "PRINCESS TIFFAH YAZIDI KUTIKISA MITANDAO YA BONGO

Image
Diamond na Zari Hassan wamemuonesha mtoto wao Latiffah kwa mara ya kwanza Jumapili hii. Tiffah, mtoto wa Diamond Platnumz aliyezaa na mpenzi wake wa Uganda, Zari the Bosslady ni kama photocopy ya sura ya baba yake. Tiffah Mastaa hao wamesherehekea siku 40 tangu kuzaliwa kwa mtoto huyo maarufu kwa kualika marafiki na watu wa karibu kwenye hafla iliyofanyika kwenye makazi yao, wanayoyaita State House.. Mastaa mbalimbali wamehudhuria hafla hiyo ya kumtoa hadharani kwa mara ya kwanza mtoto huyo maarufu. Akiongea kwenye kipindi cha EFM Uhondo kinachoendeshwa na mtangazaji wa zamani wa Clouds FM, Dina Marious, hivi karibuni Diamond alisema hana shaka kuwa Tiffah ni damu yake kukanusha tetesi zilizokuwa zimeenea kuwa huenda akawa si mwanae. Picha za mtoto huyo zimethibitisha ukweli huo. Kaka wa Zari, Williams Bugeme akiwa na Tiffa “Unajua mtoto kama si wako ni rahisi tu kujua. Na unajua mzazi anakuwa mtu wa kwanza kugundua kama mtoto si wako,” alisema Diamond. “Tena wazaz...

Picha na Video ya Magufuli Akipa Push-Up Kuonesha Yuko FITI

Image
Mgombea urais wa CCM, Dk John Magufuli akipiga 'push-up' kuonesha kuwa anauwezo wa kufanya kazi ukilinganisha na wagombea wengine. Tazama  video  ya  Dr. Maguli  hapo  chini  Akipiga  Push-Up Mgombea urais wa CCM, Dk John Magufuli akipiga 'push-up' kuonesha kuwa anauwezo wa kufanya kazi ukilinganisha na wagombea wengine. Tazama  video  ya  Dr. Maguli  hapo  chini  Akipiga  Push-Up

KAULI YA LOWASA BAADA YA UTAFITI WA TWAWEZA ULIO NYESAH MAGUFULI NDIE ATAKAYE SHINDA

Image
  

Ukaribu wa Mkurugenzi wa Twaweza Aidani Eyakuze na January Makamba wa CCM Wazidi Kutia Doa Utafiti Uliotolewa na Taasisi Hiyo

Image
Aidani Eyakuze ni Mkurugenzi mkuu wa Tweweza east africa, namfahamu sana kijana huyu aliechukua nafasi ya Rakesh pale Twaweza. Eyakuze ni rafiki mno tena wa karibu sana na January Makamba, na katika ile proposal concept ya Makamba pale Mlimana city ya kutanganza nia pale mlimani Eyakuze ndie aliekuwa consultant mkuu wa ile proposal ambayo leo kwa kiasi kikubwa imekuwa adapted na Mgombea wa CCM Magufuli na makamba kuwa karibu kuhakikisha inatekelezeka mfano kuipa kila kijiji sh milioni 50. BADO naconect urafiki wa Eyakuze na Makamba katika takwimu alizozitoa Juzi ktk media january na leo za twaweza....ni km watu wanalala na kuamka pamoja. Kwa thread hii, Aidani Eyakuze ameidhalilisha taasisi kubwa kama Twaweza kwa kununuliwa na ccm kupitia January na kupika tafiti zenye kuifurahisha ccm...hii ni hatari sana kwa taaluma ya Aidan Eyakuze ambaye Taasis yake inaeshimika kwa tafiiti zenye kulenga kuboresha mambo mbali mbali kwa serikali kwa watu wake. mfano mm...

Jack Wolper Awatupia Dongo Kina Wema Sepetu na Wenzake wa Kampeni ya Mama Ongea na Mwanao

Image
Jack Wolper Awatupia Dongo Kina Wema Sepetu na Wenzake wa Kampeni ya Mama Ongea na Mwanao...Soma Hapa Chini Dongo Lenyewe..

Inatisha..BABA Amtupa mwanae gorofani mpaka Kufa...kisa soma hapa

Image
Mtanzania mmoja aliyefahamika kwa jina la utani la Mabastola, amefariki dunia jijini Istanbul nchini Uturuki mwishoni mwa wiki iliyopita, baada ya kumrusha mwanaye kutoka katika ghorofa ya tatu ya jengo alilokuwa akiishi kisha na mwenyewe kujirusha na kufa papo hapo. Akiwa na mwanaye enzi za uhai wao. Chanzo chetu kilichopo jijini humo, kimeliambia gazeti hili kuwa kinacho taarifa za msiba huo ambao chanzo chake halisi hakijafahamika, lakini kitendo cha marehemu huyo kumtupa mtoto wake aliyekuwa na umri wa miaka kumi, kinaonesha alikuwa na tatizo la kisaikolojia. “Ninamfahamu marehemu na hilo tatizo lipo, kabla hajajirusha mwenyewe, kwanza alimtanguliza mtoto wake ambaye alifia hospitalini na tunamzika leo saa saba (Jumatatu). Marehemu bado hatujajua kama tutamhifadhi hapa au tutamrejesha nyumbani,” alisema mtoa habari huyo. Alisema kuna gharama kubwa za kuusafirisha mwili kutoka Uturuki hadi Tanzania na kwa sababu hiyo, Watanzania walioko huko wanapeana taarifa ili...

Shoga, Uonjwe We Pombe Ya Kienyej

Image
Jamani hebu nitumieni basi mvuke salama, hivi muoaji wa kweli humuonja mwanamke ndipo amuoe kweli? Mmh! Simpendi jamani mwanamke kugeuzwa chungu cha mboga kuingiza mkono na kuonja. Utaonjwa na wangapi mwisho wa siku unabaki kituko cha mtaa. Najua utashangaa kuona nimeanza na gia kubwa bila hata kutanguliza salamu, kwa kweli jambo linaloniudhi salamu kwangu si muhimu, kama kulizungumzia lililouchefua moyo wangu. Juzi nilipata malalamiko, msichana mmoja aliyefuatwa na mwanaume mtu mzima ambaye ni mume wa mtu na kumuomba awe mkewe kutokana na mkewe kuwa na matatizo ambayo siwezi kuyaweka gazetini. Kwa kweli mwari huyu alitatizika kuolewa ukewenza kuhofia kujiingiza katika vita ya ndani, lakini yule mwanaume alimuhakikishia kuwa kuoa mke mwingine alipata ruksa kutoka kwa mkewe. Mtoto wa kike kiguu na njia mpaka kwangu na kuniuliza akubali au akatae. Kwa vile najua ukewenza si dhambi nilimweleza akubali. Baada ya hapo tulipoteza na kuonana juzi akiwa anatokwa na michozi ...

majina ya waliochaguliwa kujiunga na vyuo vikuu vya udsm,duce na muce.....karibuu

/media/kalula/New Volume1/Another link to 1 UDSM Admissions Report Batch 1 17th_Sept_2015.xls