Posts

Rais Magufuli "Amaliza Kazi".......Baraza La Mawaziri Kutangazwa Muda Wowote Kuanzia Sasa

Image
Rais Magufuli akiwa na Waziri Mkuu Majaliwa Wakiteta Jambo RAIS John Magufuli ambaye tangu Novemba 17, mwaka huu alikuwa katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma kwa majukumu mbalimbali, amerejea Dar es Salaam jana na wakati wowote inaelezwa kwamba anaweza kutangaza Baraza la Mawaziri linalosubiriwa kwa hamu na Watanzania. Dk Magufuli alitua Ikulu ya Chamwino, Novemba 17 kwa kutumia usafiri wa barabara akisafiri kwa zaidi ya kilometa 300 kwenda katika Makao Makuu ya Serikali ambako kwanza alikuwa na majukumu mawili makubwa. Novemba 19, mwaka huu, alimteua Mbunge wa Ruangwa mkoani Lindi, Majaliwa Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu na siku iliyofuata alimwapisha katika Ikulu hiyo iliyoko takribani kilometa 40 kutoka Dodoma Mjini.   Aidha, baada ya kumwapisha Majaliwa asubuhi, jioni hiyo ya Novemba 20, Dk Magufuli aliyeingia madarakani Novemba 5, mwaka huu, alilihutubia na kulizindua Bunge la 11 mjini Dodoma katika hotuba iliyosisimua wabunge na Watanzania kwa ujumla kwa kugusa kero...

AJALI MBAYA YATOKEA GARI LAUNGUA MOTO USIKU WA KUAMKIA LEO

Image
 jamani. Kuna gari T 185 AVT Toyota Salon, imeungua vibaya njia inayokwenda Kibaha kutoka Baobab Secondary School na kuna MTU ndani ameungua vibaya sana limebaki fuvu tu hata hatambuliki. Polisi Kibaha ndio wapo kwenye tukio. Sambaza ujumbe ili ndugu zake wapate taarifa. Imetokea usiku wa kuamkia Leo 27/11/2015

HABARI; Dereva mmoja huko Lubumbashi Congo ajimwagia petroli na kujiwasha moto

Image
Dereva mmoja huko Lubumbashi Congo ajimwagia petroli na kujiwasha moto na kumng'ang'ania polisi waungue wote, polisi amefariki na dereva yuko hoi hospitali. Alifanya hivyo baada ya Polisi kumkamata

SKENDO ZA BONGOMOVIE TANZANIA;PICHA HIZI ZA WEMA SEPETU NA PACHO MWAMBA ZIMEVUJA MTANDAONI

Image
hii kuigiza au nini

VITUKO TANZANIA NA VICHEKESHO;WEWE HUFANYI LIPI KATI YA MAMBO HAYA KUMI (10) YA KUCHEKESHA NA KUSHANGAZA

Image
1. Kukaa peke yako na kuanza  kupiga hesabu kwa pesa ambayo hauna , utakuta kijana ametulia anaanza kupiga mahesabu nikipata milioni 10 nitafanya 1, 2, 3,……n.k. Na hii huwatokea vijana wengi sana. 2.  Kupiga piga rimoti na kubonyeza wakati tunajua kuwa betri zimeisha  na ikikubali hununui tena betri utazani tatizo limeisha kumbe lipo pale pale. 3.  Kutoboa tube ya dawa ya meno au kopo la mafuta  ili kukombeleza masalia kwa ajili ya kutumia. 4. Kusimama mbele ya  kioo  na kuanza kujitizama huku ukiweka mapozi mbalimbali kwa maringo. Unashtuka kuna mtu alikuwa anakuona unaanza kuzuga. 5.  Kufanya usafi siku anapokuja mgeni , na hii iko hasa kwa vijana wanaoishi “getto” na pia wadada wengi huwa na nguo za ndani zilizotoboka wakidai ni za kuvaa nyumbani, sijui siku ikitokea dharura itakuwaje mi simo. 6.  Kuongea na simu huku ukifanya mambo mbali mbali ya ajabu  unaweza ukapewa hata moto na ukapokea au kuweka kiatu ndani ya f...

JE MAGUFULI ATAWEZA KUJENGA BARABARA ZA FLY OVER KAMA HIZI?

Image
Leo nimekuletea hii utazame barabara 10 hatari kwenye hii dunia! kosa moja tu la dereva Kuna sehemu za hatari sana duniani ambazo unaambiwa ukifanya  kosa moja  tu unajiweka kwenye uwezekano mkubwa wa kupoteza maisha, hatari hii inapatikana kwenye barabara ambazo zipo kwenye sehemu mbalimbali duniani. Kwa Tanzania kuna sehemu kama mlima Kitonga na Sekenke hizo ni baadhi tu ya sehemu tunazozijua ni hatari, huko kwenye nchi za wenzetu kuna barabara China Sichuan-Tibet  ambayo inaua watu kila wakati mpaka takwimu zinaonyesha kwamba kati ya watu laki moja, watu elfu saba mia tano hupoteza maisha kwenye barabara hiyo. Kuna barabara nyingine ukitazama hii video hapa chini ya barabara kumi hatari duniani utaona pembeni kuna Makaburi na misalaba ya baadhi ya waliofariki kwenye ajali.

FAHAMU HAYA KUMI (10) KUHUSU BUSHMAN, “STAR WA GODS MUST BE CRAZY”.

Image
1. Ni nyota wa filamu ya “Gods must be crazy”, na jina lake kamili ni  N!xau  na ni maarufu duniani kwa jina la “ Bushman ”. 2. Ni raia wa  Namibia , Hakumbuki tarehe yake ya kuzaliwa na alifariki mnamo  mwaka 2003. Alikadiliwa kuwa amezaliwa mnamo  mwaka 1943. 3. Aliweza kuhesabu 1 – 20 tu na ndio maana alifuga mifugo ipatayo 20 na hakutaka kuzidisha zaidi ya hapo 4. Ni baba wa watoto 6 na wake 2, na familia yake ipo nchini kwake Namibia. 5. Ameigiza filamu saba (7) ambazo ni  i.The Gods Must Be Crazy (1980) ii.The Gods Must Be Crazy II (1988) iii. Kwacca Strikes Back (1990) iv.Crazy Safari (1991) v.Crazy Hong Kong (1993) vi.T he Gods Must be Funny in China (1994) vii.Sekai Ururun Taizaiki (1996) 6. Katika filamu yake ya kwanza aliambulia kiasi cha  shilingi 480,000 . kwa sababu katika kijiji chake walichokuwa wakiishi hawakuwa wakitumia pesa na aliona kama hazina umuhimu. 7. Baada ya kufundishwa umuhimu wa pesa ndipo...