JE MAGUFULI ATAWEZA KUJENGA BARABARA ZA FLY OVER KAMA HIZI?


Leo nimekuletea hii utazame barabara 10 hatari kwenye hii dunia! kosa moja tu la dereva

barabara 1Kuna sehemu za hatari sana duniani ambazo unaambiwa ukifanya kosa moja tu unajiweka kwenye uwezekano mkubwa wa kupoteza maisha, hatari hii inapatikana kwenye barabara ambazo zipo kwenye sehemu mbalimbali duniani.
br 3Kwa Tanzania kuna sehemu kama mlima Kitonga na Sekenke hizo ni baadhi tu ya sehemu tunazozijua ni hatari, huko kwenye nchi za wenzetu kuna barabara ChinaSichuan-Tibet ambayo inaua watu kila wakati mpaka takwimu zinaonyesha kwamba kati ya watu laki moja, watu elfu saba mia tano hupoteza maisha kwenye barabara hiyo.
br 2Kuna barabara nyingine ukitazama hii video hapa chini ya barabara kumi hatari duniani utaona pembeni kuna Makaburi na misalaba ya baadhi ya waliofariki kwenye ajali.

Comments

Popular posts from this blog

Ang'atwa na Nyoka Akizini na Mke wa Mtu Kichakani

Kubenea Aibua Ufisadi wa Billion 1.2 Kupitia Ufuaji wa Majoho ya Madiwani

Tundu Lissu Ajibu Mapigo.......Asema Mwenye Richmond ni Rais Kikwete Mwenyewe