Posts

ALIPOTOKA DIAMOND PLATNUMZ

Image
Hakika kuna mengi ya kujivunia katika maisha yake,ametoka kwenye  umaskini na sasa ni tajiri..cheki hapo chini picha hizo akiwa msanii bora zaidi afrika mashariki na kati,diamond katika ubora wake. ni juzi tu katoka kupokea tuzo tatu kwa mpigo na sasa ansubiri ushindi mwingine. maisha ni kujipanga na kujituma.juhudi zake zipo wazi.

Rose Ndauka ajibu Tetesi za Kuwa na Uhusiano na Shetta

Image
Baada ya kuenea tetesi kuwa mke wa Shetta ‘Neila Yusuf’ anadai talaka kwa mume wake kutokana na Rose Ndauka kuingilia ndoa yao, Ndauka amevunja ukimya. Akiongea kwenye kipindi cha Mkasi, Ndauka alikanusha kuwahi kuwa na uhusiano na rapper huyo. “Kuna siku nilikuwa kwa Diamond, Mama Kayla alikuwepo, kwahiyo akawa amenifuata kunisalimia, Dareen akawa ananiambia umemuona ‘mama Kayla?’ Nikamwambia yupo wapi? akaniambia ndio huyu hapa! Nikawa nacheka nikamwambia ‘mambo’, nikamwambia nasikia umeondoka kwako kwaajili yangu? Akaanza kucheka, akaniambia ‘sio kweli mbona hakuna kitu kama hicho.’ Kwahiyo nikacheka kwa sababu mtu mwingine anaweza kucreate tu kitu kwa sababu tu hawajamuona Rose kwenye

siku ya usafi;Hatimaye kazi yao waipendayo imepata siku maalum,ni desemba 9 watepewa portion kubwa zaidi

Image
hahahahaha hatari sana

Familia ya Alphonce Mawazo na CHADEMA Washinda Kesi ya Pingamizi la Polisi, Sasa kesi ya Msingi kusikilizwa

Image
Jaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza, Lameck Mlacha, ametupilia mbali mapingamizi yaliyowekwa na RPC wa Mwanza na Mwanasheria Mkuu wa Serikali dhidi ya kesi iliyofunguliwa jana na familia ya Marehemu Alphonce mawazo kuomba tafsri ya mahakama baada ya jeshi la polisi mkoani Mwanza kupiga marufuku mikusanyiko ya kuuaga mwili wa marehemu.  Katika mapingamizi hayo, mwanasheria mkuu wa serikali  alidai kuwa mleta maombi ambae ni Baba mdogo wa Mawazo hana uhalali wa kisheria wa kuleta maombi hayo mahakamani  kwa kuwa yeye si baba mzazi wa marehemu, na kuwa hajaleta hoja za kubishaniwa kwenye maombi hayo. Upande wa utetezi unaoongozwa na mawakili John Mallya, James Millya na Paul Kipeja ulijibu hoja hizo kuwa katika hatua hiyo masuala ya kubishaniwa hayana sababu ya kuletwa kwa kuwa ni hatua ya awali sana. Kuhusu uhalali wa kisheria wa baba mdogo wa marehemu, majibu yalikuwa kwamba baba mdogo kwa kuwa ndiye aliemlea Marehemu Mawazo, anayo mamlaka na uhala...

GOSSIP;RIHANNA KUDONDOSHA ALBAMU MPYA NOV 27

Image
Taarifa zisizo rasmi zinasema kuwa album mpya ya Rihanna ‘‘Anti World Tour’ inatarajiwa kutoka  Ijumaa hii Novemba  27 mwaka huu..  Album hiyo ya nane itatoka exclusively kupitia mtandao wa Jay Z, Tidal mpaka Dec 4 ndio itaanza kupatikana kwenye platform tofauti tofauti ..

Hizi ni baadhi ya tweets za wakenya kuhusu raisi John Pombe Mgufuli

Image
Hizi ni baadhi ya tweets za wakenya: Magufuli akuje atoe Uhuru lock juu ye ni Pombe. ? Dan Did It? (@Danielki_) November 23, 2015 Uhuru Kenyatta needs to borrow a leaf from his fresher counterpart in Tanzania Magufuli!!! ? Fifi (@Sly_lis) November 23, 2015 Magufuli less than amonth in office vs Uhuru more than 2.5 yrs in office. #StateOfTheNation   ? SHADRACK MUSYOKI (@Shadie_Musyoki) November 23, 2015 #StateOfTheNation  magufuli went into action mood 2nd day in office,3 years down the line,uhuru is still forming committes to tell him to act ? TeamMafisi Pope (@MafisiPope) November 23, 2015 Pres. Uhuru has been talking since 2013, Pres. Magufuli has been ACTING since 3 weeks ago. More fruits in 3 weeks action than 3yrs talk. ? Collins BETT, Esq. (@CollinsFabien) November 23, 2015 As Tanzanians wake up to what Magufuli has done, Kenyans wake up to what Uhuru has promised @Ma3Route ? Muthui Mkenya (@Muthu...

MCHAKATO WA SERIKALI KUNYANG’ANYA MASHAMBA NA VIWANJA WAANZA

Image
Mchakato wa kunyang’anya mashamba na viwanda kutoka kwa wamiliki walioshindwa kutekeleza masharti waliyopewa na Serikali umeanza.  Taarifa tulizozipata zimeeleza kuwa miongoni mwa mashamba na viwanda hivyo ni kutoka mkoani Morogoro, Lindi, Arusha, Mbeya, Tanga, Kilimanjaro na Dar es Salaam.  Wiki iliyopita, Ofisi ya Msajili wa Hazina ilitoa tangazo kwa wawekezaji walionunua viwanda na mashamba ya Serikali ikiwakumbusha kurejea kwenye mikataba yao.  Taarifa hiyo iliyosainiwa na Msajili wa Hazina, Lawrence Mafuru (pichani) ilieleza kuwa inarejea mikataba yote ya mauzo ya viwanda na mashamba iliyoingiwa kupitia Mpango wa Ubinafsishaji na kwamba kuna wawekezaji wamekiuka masharti ya mikataba yao.  Miongoni mwa masharti hayo yaliyokiukwa ni kutoendelezwa viwanda na mashamba kwa mujibu wa mikataba, kushindwa kutekeleza mpango wa uwekezaji, baadhi ya wanunuzi kuuza mashine walizozikuta bila kurudisha mashine mbadala, kutokamilisha malipo ya ununuzi wa...