ALIPOTOKA DIAMOND PLATNUMZ

Hakika kuna mengi ya kujivunia katika maisha yake,ametoka kwenye  umaskini na sasa ni tajiri..cheki hapo chini picha hizo
diamond platnumz1
akiwa msanii bora zaidi afrika mashariki na kati,diamond katika ubora wake.
diamond platnumz
ni juzi tu katoka kupokea tuzo tatu kwa mpigo na sasa ansubiri ushindi mwingine.
maisha ni kujipanga na kujituma.juhudi zake zipo wazi.

Comments

Popular posts from this blog

Ang'atwa na Nyoka Akizini na Mke wa Mtu Kichakani

Kubenea Aibua Ufisadi wa Billion 1.2 Kupitia Ufuaji wa Majoho ya Madiwani

Tundu Lissu Ajibu Mapigo.......Asema Mwenye Richmond ni Rais Kikwete Mwenyewe