Posts

MPYA:ANGALIA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA CHUO KIKUU ST.JOHN UNIVERSITY 2015/2016

Image
Habari yenu,     hatimae  leo tarehe 25/9/2015 Chuo kikuu ST.JOHN DODOMA  kimetangaza approved students from TCU ambao wanatarajiwa kujiunga na chuo hiki.  Kama kawaida yetu brez newz BLOG tunaendelea kukuletea kitu roho inapenda kwa kukusogezea huduma hadi chumbani kwako kwa ukaribu zaidi.   Huduma yetu ni kukuangalizia kama wewe/ndugu yako,mwanao,kaka,dada etc kama umechaguliwa kujiunga na CHUO KIKUU ST.JOHN DODOMA ENDAPO UTATAKA KUANGALIZIWA KAMA UMECHAGULIWA FANYA YAFUATAYO; 1.TUMA JINA LAKO KWENDA NAMBA 0767721151    MFANO (JOHN JOHN ST.JOHN 2015/2016)   2.HUDUMA HII UTATOZWA TSHS 1000 TU AMBAYO UTAITUMA KWA;     -MPESA(0767721151)   3.TUTAKUJIBU NDANI YA DK MOJA TU,SMS ZOTE LAZIMA    ZIJIBIWE 4.TUMA PESA KWANZA NDIO UJIBIWE. KUANGALIA MAJINA HAYO SOMA HAPO CHINI DOWNLOAD HAPA MAJINA HAYO YA WALIOCHAGULIWA DIGRII 2015/16

NEWS:HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA CHUO KIKUU DODOMA( UDOM) DIGRII 2015/2016

Image
Habari yenu,     hatimae  Chuo kikuu DODOMA UDOM  kimetangaza approved students from TCU ambao wanatarajiwa kujiunga na chuo hiki.  Kama kawaida yetu brez newz BLOG tunaendelea kukuletea kitu roho inapenda kwa kukusogezea huduma hadi chumbani kwako kwa ukaribu zaidi.   Huduma yetu ni kukuangalizia kama wewe/ndugu yako,mwanao,kaka,dada etc kama umechaguliwa kujiunga na CHUO KIKUU DODOMA UDOM ENDAPO UTATAKA KUANGALIZIWA KAMA UMECHAGULIWA FANYA YAFUATAYO; 1.TUMA JINA LAKO KWENDA NAMBA 0767721151    MFANO (JOHN PAUL UDOM 2015/2016)   2.HUDUMA HII UTATOZWA TSHS 1000 TU AMBAYO UTAITUMA KWA;     -MPESA(0767721151) KUANGALIA MAJINA HAYO SOMA HAPO CHINI TCU - UDom.xlsx-1248565247TCU - UDom (1).xlsx

BASATA Yatoa Siku 7 Kwa Wamiliki wa Blogs, sound cloud, U-Tube , ITunes, Radio na Tv Kufuta Nyimbo za Wasanii Zenye Kukiuka Maadili

Image
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) linawaagiza wasanii, wamiliki na waendeshaji wa wavuti, tovuti na vyombo vya habari hususan radio na runinga kuondoa na kuacha mara moja kurusha au kutangaza au kucheza nyimbo zote zenye maudhui ya kashfa, matusi, kejeli, udhalilishaji ambazo zinahatarisha kuigawa jamii ya kitanzania katika misingi yoyote hasa katika kipindi hiki Taifa linapoendelea na kampeni za kisiasa na kujiandaa na uchaguzi mkuu. Kwa mujibu wa kifungu namba 118 (a-d) cha Sheria ya Bunge namba 9 ya Mawasiliano ya Mtandao ya mwaka 2010 ni marufuku kwa njia yoyote kwa mtu au chombo chochote kutengeneza, kuzalisha, kusambaza au kutangaza ujumbe ambao una mlengo wa matusi, dharau, uzushi au jinai kwa lengo la kutukana, kutisha, kusumbua au kushusha hadhi ya mtu mwingine. Aidha, Sheria ya Bunge namba 4 ya Makosa ya Mtandao ya mwaka 2015 kifungu cha 45 (1) (a-c) kinatoa mamlaka kwa taasisi au mtu yeyote anayebaini uvunjifu wa Sheria katika mitandao ku...

Suluhisho rahisi kwa wanaodhani wamepungukiwa nguvu, wanaosumbuka kurudia tendo au kuwahi kufika

Inavyoonekana siku hizi japo kweli kuna tatizo la upungufu wa nguvu za kiume haswa kwa mazingira ya mijini, Lakini hili tatizo linaonekana kukuzwa kuliko lilivyo hadi imepelekea woga mkubwa kwa baadhi y awatu . Kwa kuanzia yafuatayo yaweza kusaidia kuboresha kulifurahia tendo la ndoa zaidi na kwa muda zaidi. Kuuweka Mwili vizuri: Ni wazi kuwa tendo hili linachagiwa sana na mzunguko mzuri wa damu. Mwili ukiwa kwenye hali nzuri kiafya na tendo huwa linaenda ipasavyo. Na mwili ukiwa dhoofu basi tegemea tukio dhoofu pia. Hivyo ukitaka kuwa na matokeo mazuri kwenye ndoa yako, jitahidi sana kujiweka vizuri kwa kula sahihi na kufanya mazoezi mepesi mepesi tu kwa wale wanaoweza kuutumia muda vizuri wapiti pite Gym walau siku mbili na kuendelea kwa wiki. Kufahamu kuwa kupumzika kwa uume baada ya baada kufika mara ya kwanza sio tatizo. Kwa wanaume walio wengi, baada ya mshindo wa kwanza hupumzika kidogo kabla ya kuendelea na awamu nyingine. Japo kuna ambao wana ...