MPYA:ANGALIA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA CHUO KIKUU ST.JOHN UNIVERSITY 2015/2016


Habari yenu,  
hatimae  leo tarehe 25/9/2015 Chuo kikuu ST.JOHN DODOMA  kimetangaza approved students from TCU ambao wanatarajiwa kujiunga na chuo hiki.

 Kama kawaida yetu brez newz BLOG tunaendelea kukuletea kitu roho inapenda kwa kukusogezea huduma hadi chumbani kwako kwa ukaribu zaidi.


  Huduma yetu ni kukuangalizia kama wewe/ndugu yako,mwanao,kaka,dada etc kama umechaguliwa kujiunga na CHUO KIKUU ST.JOHN DODOMA
ENDAPO UTATAKA KUANGALIZIWA KAMA UMECHAGULIWA FANYA YAFUATAYO;
1.TUMA JINA LAKO KWENDA NAMBA 0767721151
   MFANO(JOHN JOHN ST.JOHN 2015/2016)
 
2.HUDUMA HII UTATOZWA TSHS 1000 TU AMBAYO UTAITUMA KWA;
    -MPESA(0767721151)
 

3.TUTAKUJIBU NDANI YA DK MOJA TU,SMS ZOTE LAZIMA
   ZIJIBIWE

4.TUMA PESA KWANZA NDIO UJIBIWE.

KUANGALIA MAJINA HAYO SOMA HAPO CHINI

DOWNLOAD HAPA MAJINA HAYO YA WALIOCHAGULIWA DIGRII 2015/16

Comments

Popular posts from this blog

Ang'atwa na Nyoka Akizini na Mke wa Mtu Kichakani

Kubenea Aibua Ufisadi wa Billion 1.2 Kupitia Ufuaji wa Majoho ya Madiwani

Tundu Lissu Ajibu Mapigo.......Asema Mwenye Richmond ni Rais Kikwete Mwenyewe