Posts

Diva Wajibizana Vibaya Na Diamond Kwnye Kipind Cha XXL Clouds FM

Image
Diva Na Sauti Yake Ya Kujiamin Ikiambatana Na Nyodo Ajibizan Na Diamond On Air Kisa Mambo Ya Instagram , inasemekana diva Anamongelea vibaya daimond Instagram, Daimond  amemwambia diva kuwa kama ningekuwa nimekukaza usingekuwa unaniongelea......majibizano yaliendelea nusu wapigane BDAZIN akazima maic...

Mke wa LOWASSA Aondolewa Mkutanoni Simiyu na Kupitishwa Mlango wa Nyuma Kisa Hichi Hapa

Image
Mke wa Lowassa Mama Regina Lowassa MGOGORO wa vyama viwili vya siasa CUF na CHADEMA ambavyo vinaunda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), katika Wilaya ya Itilima, mkoani Simiyu, juzi ulichukua sura mpya. Hali hiyo inatokana na  mgombea mmoja wa ubunge wa jimbo hilo kupitia CUF, Martine Makondo na wafuasi wake, kuvamia uzinduzi wa kampeni za mgombea ubunge wa CHADEMA, Martine Magire ambapo mgeni alikuwa Mama Regina Lowassa (mke wa Edward Lowassa). Mama Lowassa alishindwa kuzindua kampeni hizo kutokana na vurugu kubwa zilizotokea. Awali mkutano ulikuwa ufanyike kwenye Uwanja wa Michezo uliopo katika Sekondari ya Lagangabilili. Dalili za vurugu zilianza kuonekana mapema baada ya wafuasi wa CHADEMA kudai kuwa, mgombea wa CUF alikuwa amekwenda kwenye mkutano huo na kundi la vijana ili kuvuruga mkutano. Baada ya Mama Lowassa kuwasili eneo la mkutano akiwa na Naibu Katibu Mkuu Baraza la Wanawake wa CHADEMA Taifa (BAWACHA),Kunti Yusuph, mgombea wa CUF aliwasili ene...

KAULI ALIYOITOA WOLPER MBELE YA LOWASSA YAIBUA HISIA KWA MASHABIKI WAKE,ASEMA KWA SASA ANAITWA JACKY LOWASSA

Image
Katika Mkutano wa Lowassa leo na Wanawake wa Chadema , Mwigizaji Jack Wolper Alipewa Nafasi ya Kuongea Kuwawakilisha wasanii na Kusisitiza kuwa kwa sasa jina lake ni Jack Lowassa Kama Alivyoandika kwenye ukurasa wake wa Instagram siku kadhaa zilizopita... Jack Lowassa akisistiza jambo pembeni ni Aunt Ezekiel na katikati ni Shamsa Ford Msanii wa Filamu Bongo Movies Jack Wolper akisalimiana na Lowassa mara baada ya kumpatia keki,ambapo jana mh.Lowassa alikuwa anatimiza miaka kadhaa toka azaliw

Uwoya Awashangaa Wasanii Wasioisapoti CCM

Image
Mrembo wa filamu za kibongo nchini ambaye ameshapitishwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwania ubunge wa viti maalumu, Irene Uwoya anawashangaa wasanii wenzake ambao hawakiungi mkono chama hicho wakati baadhi yao walikuwa karibu sana na Rais Jakaya Kikwete anayemaliza muda wake. Kupitia mtandao wake wa kijamii wa Instagram, Uwoya amewachana wasanii ambao wamekuwa wakisema hawaoni sababu ya kumuunga mkono wakati yeye hakuwahi kuwathamini hata siku moja. “ Sasa narudi kwa wasaniii wasio jitambua! katika tasnia yetu, ukweli usiopingika Kikwete amekuwa karibu sana na wasanii na ametufanya tuthaminike. “Lakini chaajabu kunawatu wanajifanya hawajui mchango wake, kiukweli inaumiza sana! "Kuna watu walikuwa wanashinda Ikulu , anawasaidia sana katika kazi zao lakini leo wamesahau yote na kumsapoti mtu ambaye hajawahi hata kuwatambua kwanafasi zao, kama sio ushabiki maandaz niniii? Loooo!!! aibu ”.Uwoya ameandika.

MKE WA SLAA AJIBU MAPIGO YA GWAJIMA

Image
MKE wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema), Dk. Willibrod Slaa, Josephine Mushumbusi,  ambaye amekuwa akitupiwa tuhuma nyingi za kumponza na kumsababishia aibu mume wake amesema kuwa hajaona jambo lolote lenye maudhui ya kujibu tuhuma zinazoelekezwa dhidi yake. Kauli hiyo ya Mushumbusi imekuja siku chache baada ya Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima ambaye Dk. Slaa alimtaja kama mshenga wa tukio la Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa kujiunga na Chadema, kudai ana ushahidi unaoonyesha kuwa mama huyo ndiye chanzo cha mume wake kuacha siasa. Mushumbusi ambaye yuko nje ya nchi, alitoa msimamo huo katikati ya wiki hii wakati akiwasiliana na MTANZANIA Jumamosi kwa njia ya barua pepe. Amejipambanua kwa kusema kwamba mafanikio yake yataonekana muda si mrefu hivyo kwa sasa amefunga mikono. “You will see ...

Maneno mengine ya T B Joshua mwaka mmoja baada ya Jengo la Kanisa lake kuanguka Umepita mwaka mmoja sasahivi toka litokee tukio la kuanguka kwa Jengo la Kanisa la Synagogue Church of All Nations Nigeria ambalo linaongozwa na Mchungaji T B Joshua… kuna watu wengi walifariki katika tukio hilo na ilikuwa stori ambayo iligusa watu wengi kwa sababu ya umaarufu wa Mchungaji huyo nje ya mipaka ya Nigeria. T B Joshua ameandika ujumbe unaogusa kumbukumbu ya tukio hilo, kwenye alichokisema kuna haya maneno pia >>> ‘Ni muhimu kukumbuka kwamba sisi ni Familia ya MUNGU, wakati mwingine kwenye mazingira kama haya tunatakiwa kumuachia MUNGU… Tunatakiwa kuamini kwamba vifo vya ndugu zetu ilikuwa ni mapenzi ya MUNGU, na haikuwezekana kupingana nao‘- T B Joshua. 3 Ajali ya kuanguka kwa Jengo la Kanisa hilo ilitokea September 12 2014, ambapo watu 115 walifariki na 84 kati yao walikuwa Raia wa South Africa.

Image
Umepita mwaka mmoja sasahivi toka litokee tukio la kuanguka kwa Jengo la Kanisa la Synagogue Church of All Nations  Nigeria ambalo linaongozwa na Mchungaji T B Joshua … kuna watu wengi walifariki katika tukio hilo na ilikuwa stori ambayo iligusa watu wengi kwa sababu ya umaarufu wa Mchungaji huyo nje ya mipaka ya Nigeria. T B Joshua ameandika ujumbe unaogusa kumbukumbu ya tukio hilo, kwenye alichokisema kuna haya maneno pia >>> ‘ Ni muhimu kukumbuka kwamba sisi ni Familia ya MUNGU, wakati mwingine kwenye mazingira kama haya tunatakiwa kumuachia MUNGU… Tunatakiwa kuamini kwamba vifo vya ndugu zetu ilikuwa ni mapenzi ya MUNGU, na haikuwezekana kupingana nao ‘- T B Joshua . Ajali ya kuanguka kwa Jengo la Kanisa hilo ilitokea September 12 2014, ambapo watu 115 walifariki na 84 kati yao walikuwa Raia wa South Africa.

Lil Wayne na Christina Millian waachana..!? Sababu? Ninayo yote hapa

Image
Baada ya kuachana na mchumba wake miaka miwili iliyopita mwimbaji wa R&B Christina Millian alianza kuonekana sana na rapper Lil Wayne baada ya kujiunga na lebo ya msanii huyo, muda mfupi badaae wawili hao wakaingia kwenye mahusiano ya kimapenzi na mpaka sasa wana zaidi ya mwaka mmoja pamoja. Christina Millian na Lil Wayne. Lakini leo headlines za wawili hawa ni tofauti kidogo… wapenzi hao wamethibitisha kuwa wameachana toka mwezi uliyopita lakni waliamua kukaa kimya kwanza na kuweka baadhi ya mambo yao sawa kabla kutangaza kwa watu kuwa uhusiano wao wa kimapenzi umeisha. Msemaji wa karibu wa watu hao anasema sababu kubwa iliyopelekea kuachana kwao zinatokana na ratiba za wawili hao kubana sana. >>> “Wanaachana sio kwamba wanapenda ila ratiba zao zinawabana sana, wanakosa muda wa kuonana na kuwa pamoja, Lil Wayne anafanya sana tour za wasanii wake na za kwake pia  na pia anaifanyia kazi...