KAULI ALIYOITOA WOLPER MBELE YA LOWASSA YAIBUA HISIA KWA MASHABIKI WAKE,ASEMA KWA SASA ANAITWA JACKY LOWASSA

Katika Mkutano wa Lowassa leo na Wanawake wa Chadema , Mwigizaji Jack Wolper Alipewa Nafasi ya Kuongea Kuwawakilisha wasanii na Kusisitiza kuwa kwa sasa jina lake ni Jack Lowassa Kama Alivyoandika kwenye ukurasa wake wa Instagram siku kadhaa zilizopita...

Jack Lowassa akisistiza jambo pembeni ni Aunt Ezekiel na katikati ni Shamsa Ford

Msanii wa Filamu Bongo Movies Jack Wolper akisalimiana na Lowassa mara baada ya kumpatia keki,ambapo jana mh.Lowassa alikuwa anatimiza miaka kadhaa toka azaliw

Comments

Popular posts from this blog

Ang'atwa na Nyoka Akizini na Mke wa Mtu Kichakani

Kubenea Aibua Ufisadi wa Billion 1.2 Kupitia Ufuaji wa Majoho ya Madiwani

Tundu Lissu Ajibu Mapigo.......Asema Mwenye Richmond ni Rais Kikwete Mwenyewe