Baada ya kutemwa na kocha wa Spurs hii ndio klabu aliyojiunga nayo Emmanuel Adebayor …


Mshambuliaji wa kimataifa wa Togo aliyewahi kuvichezea vilabu vya ArsenalMan Cityna baadae Tottenham Hotspurs Emmanuel Adebayor alikuwa hana timu kwa miezi kadhaa sasa, baada ya kocha wa klabu yake ya Tottenham Hotspurs Mauricio Pochettino kumuondoa katika mipango na kikosi chake kitakachoshiriki mashindano tofauti, licha ya kuwa alikuwa analipwa kama kawaida.
saaa
January 26 mitandao ya soka ya Uingereza imethibitisha Adebayor kujiunga na klabu ya Crystal Palace ya Uingereza,  Sky Sport wamethibitisha staa huyo kujiunga na klabu hiyo hadi mwishoni mwa msimu.
3099B64200000578-3417775-Adebayor_has_been_handed_the_No_25_shirt_by_the_club_and_will_be-m-27_1453830804947

Comments

Popular posts from this blog

Ang'atwa na Nyoka Akizini na Mke wa Mtu Kichakani

Kubenea Aibua Ufisadi wa Billion 1.2 Kupitia Ufuaji wa Majoho ya Madiwani

Tundu Lissu Ajibu Mapigo.......Asema Mwenye Richmond ni Rais Kikwete Mwenyewe