Swagga za linnah Sanga zawachengua wabongo

Uzuri pesa...pendeza sana mdada



Mwanamuziki matata kabisaaa Linah sanga ... kwa haraka haraka hapo unaweza jua sio mtanzania... hakika alivunja rekod ya kupendeza akiwa katika muonekano huo... @officiallinah == je, mdau wewe unaonaje??? Funguka hapa

Comments

Popular posts from this blog

Ang'atwa na Nyoka Akizini na Mke wa Mtu Kichakani

Kubenea Aibua Ufisadi wa Billion 1.2 Kupitia Ufuaji wa Majoho ya Madiwani

Tundu Lissu Ajibu Mapigo.......Asema Mwenye Richmond ni Rais Kikwete Mwenyewe