JACKLINE olper Ajitapa Kukwapua Waume za Watu

MREMBO anayesukuma maisha yake kupitia sinema Bongo, Jacqueline Wolper amejitapa kuwa haoni tatizo kuchukua mume wa mtu kwani wanaoibiwa ni wadhaifu.Wolper Ajitapa Kukwapua Waume za Watu

Akifafanua kauli yake, Wolper alisema, kumekuwa na malalamiko mengi ya mastaa wa kike kuhusu kuibiana mabwana kitu ambacho yeye anaamini kwamba kama ukiwa mbunifu huwezi kuibiwa, wanaoibiwa wasilalamike.
“Bibi eeeh acha waseme. Mimi nikikuibia bwana ujue nimekuzidi ujanja inabidi uwe tu mpole siy

Comments

Popular posts from this blog

Ang'atwa na Nyoka Akizini na Mke wa Mtu Kichakani

Kubenea Aibua Ufisadi wa Billion 1.2 Kupitia Ufuaji wa Majoho ya Madiwani

Tundu Lissu Ajibu Mapigo.......Asema Mwenye Richmond ni Rais Kikwete Mwenyewe