BREAKING NEWS MCHUNGAJI MTIKILA AFA KATIKA AJALI ....mtikila

Mchungaji Mtikila Enzi za uhai wake

Mwanasiasa maarufu nchini Tanzania mwenyekiti wa chama cha DP Mchungaji Christopher Mtikila amefariki dunia kwa ajali ya Gari leo Majira ya saa 10 alfajiri akitokea mkoani kwake Njombe katika kampeni .

 Taarifa zilizothibitishwa na mgombea Ubunge jimbo la Iringa Mjini na mwenyekiti wa DP Mkoa Robart Kisinini wakati akizungumza na mtandao huu wa www.matukiodaima.co.tz amesema ni kweli mwenyekiti wake huyo Taifa amefariki dunia 

, RPC Pwani amesema ni kweli kuna ajali imetokea eneo la Msolwa ameenda kwenye eneo la tukio na atatoa taarifa baadae

ajali hiyo imetokea  eneo la Msolwa mkoani Pwani huku Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Pwani akithibitisha kutokea kwa ajali hiyo na kuwa taarifa zaidi ataitoa baada ya kurejea kutoka  eneo la tukio  

Comments

Popular posts from this blog

Ang'atwa na Nyoka Akizini na Mke wa Mtu Kichakani

Kubenea Aibua Ufisadi wa Billion 1.2 Kupitia Ufuaji wa Majoho ya Madiwani

Tundu Lissu Ajibu Mapigo.......Asema Mwenye Richmond ni Rais Kikwete Mwenyewe