Posts

Picha: Diamond Platnumz Akiwa na Watoto Wote wa Zari

Image
Kupitia kwenye mitandao ya kijamii mwanadada Zarinah Hassan ‘Zari the boss Lady’ ambaye ni mzazi mwenza wa mkali wa bongo fleva, Diamond Platinum alitupia picha hizi akiwa yeye, Tiffah na Diamond pamoja na watoto watatu wa zari ambao diaomond alimkutanao kuandika maeno kuashiria hiyo ndiyo familia. Hii ni kwama mara ya kwanza kwa diamond kupiga picha na watoto hao wa zari tangu Diamond awe na mahusiano na mwanadada Zari. Jionee picha hizo hapo chini

KIMENUKA..Miss Tanzania Atajwa Ufisadi wa Sh1.3 Trilioni

Image
  Aliyekuwa ofisa mwandamizi wa benki ya Stanbic tawi la Tanzania, Shose Sinare amehusishwa na mipango ya kifisadi ambayo imeisababishia Serikali ya Tanzania hasara ya Sh1.3 trilioni kati ya mwaka 2012 na 2013. Taarifa ambazo gazeti hili limepata kutoka Uingereza na hapa nchini, mwanadada huyo ambaye alikuwa mrembo wa Tanzania mwaka 1996, alishirikiana na aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo, Bashir Awale. Sinare hakupatikana kufafanua suala hilo ilhali Awale alifukuzwa nchini hivi karibuni. Alipoulizwa jana kuhusu tuhuma hizo, Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru, Dk Edward Hosea alisema anatambua suala hilo,  linafuatiliwa na taasisi yake na hakutaka kutoa maelezo zaidi. Taarifa kwamba Serikali imetumbukia katika kashfa nyingine kubwa ya ufisadi zimebainika baada Taasisi ya Uchunguzi wa Makosa Makubwa ya Ufisadi ya Uingereza (SFO) kuwasilisha mahakamani ushahidi wake kwamba kiasi cha Sh1.3 trilioni kilipotea wakati wa uuzwaji wa hati fungani za Serikali kwa benki ya Stan...

Kimbunga cha Magufuli chatua Mashirika ya Umma, ATCL, TRL And Tazara Matumbo Moto

Image
Msajili wa Hazina, Lawrence Mafuru amezitaka taasisi na mashirika ya umma nchini kuacha utegemezi kwa Serikali, badala yake kupunguza matumizi na wafanyakazi ili kuongeza mapato na ufanisi. Mafuru alisema Serikali imebeba mzigo wa taasisi na mashirika hayo kwa kutegemea izipatia fedha kutoka Hazina kwa ajili ya kujiendesha, na kulipa mishahara ya wafanyakazi na kusababisha ufanisi wao kuwa mdogo. Mafuru pia alitangaza kufuta posho za wabunge katika bodi za mashirika na kuanzisha mchakato wa kuwaondoa katika mashirika hayo, ili wabaki na jukumu lao la msingi la kuikosoa Serikali badala ya kuingia katika utendaji. Kuhusu uzalishaji Msajili huyo alisema inashangaza kuona kwamba mpaka sasa kuna mashirika ya umma ambayo bado yanaitegemea Serikali kulipa mishahara ya wafanyakazi wake. Aliyataja mashirika hayo kuwa ni Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), Kampuni ya Reli Tanzania (TRL), Kampuni ya Hifadhi za Reli (RAHCO) na Mamlaka ya Reli Tanzania na Zambia (Tazara). Alisema hakuna h...

Je Kasi ya Magufuli na Watendaji Wake Ndio Mwanzo wa Udikteta? Ama ni Kasi Inayotakiwa Katika Taifa Hili ?

Image
Mwalimu Nyerere once a time alisema kama nigetaka kuwa dicteta ningeweza. hivi sasa watanzania tumepata upofu wala hatuoni tena. nimewahi kusema kwenye post zangu kuwa IPO siku watanzania watamkumbuka Rais Kikwete. kwanini niseme ivo, twende pamoja na kama unamatongotongo kanawe,na kama umemeza viroba kaa mbali na hii post,only great thinkers. 1. VITISHO NA HOFU ukubali au ukatae magufuli sasa anaogopwa na amejaza hofu wananchi haswa wafanyakazi na wafanyabiashara. kumbekeni Adolph Hitler alishinda uchaguzi wala hakupindua serikali pia alipata public sympathy hata pale alipokesea. tazama sasa hata hii post kuna watu watakosoa bila kujali relevance yake. 2. KUVUNJWA KWA HAKI ZA BINADAMU. hivi sasa unaweza kuweka polisi bila kushtakiwa mfano. hivi jeuri ya Paul Makonda yakumweka MTU kizuizini bila kumpeleka mahakamani ni uvunjaji wa haki za binadamu. sasa ivi kila mkuu wa wilaya anaamua tu kwa ubabe hats bila kuangalia haki za binadamu. 3.KUVUNJWA KWA UTAWALA WA SHERI...

Sakata la Makontena: Mwigulu, Saada Mkuya, Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Wanatakiwa Wawe Ndani

Image
Ni jambo la kusikitisha kuwepo upotevu wa kiasi kikubwa cha pesa kwa ukwepaji kodi wa makontainer 349 yenye thamani billion 80 wakati wenye dhamana ya kulinda mali hizi zisipotee wakina Mwigulu Nchemba, Saada Mkuya, Katibu Mkuu wizara ya fedha wakiwa nje bila kuchukuliwa na hatua yoyote kama walivyo wenzao sita walioachishwa kazi na kuwekwa chini ya uchunguzi, haiwezekani makontiner idadi kubwa kama hii ipotee billa wakuu hawa kujua lolote, tunaiomba serikali iwafuatilia na kuwawajibisha mara moja, hivyo hivyo katika uongozi wako Mh. Tingtinga untakiwa kuwafyeka wote. Vivyo hivyo tnataka taarifa sahii ya maandishi kuonyesha kama fedha zlizoamriwa kulipwa kutoka kwa wana-ESCROW kama zimelipwa kwa wakati. Jamii Forums

Taarifa Kutoka Azam Kampuni ya Bakhresa Kuhusu Kuhusishwa Kwnye Makontena 349 Yaliyotolewa Bandarini Bila Kulipiwa Ushuru

Image
Kumekuwa na taarifa zinazosambazwa katika mitandao ya kijamii kuwa kampuni ya Bakhresa inahusika na upotevu wa Makontena 349 yaliyoripotiwa hivi karibuni kuwa yametolewa bandarini bila kulipiwa ushuru. Taarifa hizo zilitolewa na Waziri Mkuu wakati wa ziara yake ya Bandari ya Dar es salaam hivi karibuni. Uchunguzi wetu umeonyesha kuwa si kweli kuwa kuna makontena yenye bidhaa zilizoingizwa na kampuni hio ama ni miongoni mwa makontena yaliyohusika katika sakata hilo. Isipokuwa kumetokea upotevu wa makontena yaliyoingizwa nchini na baadhi ya wafanyabiashara katika eneo la kuhifadhia makontena(ICD) linalomilikiwa na kampuni hiyo la Azam ICD. Aidha imebainika kuwa kuna uchunguzi unaofanywa na mamlaka ya mapato nchini TRA, huku kukiwa na ushirikiano na uongozi wa Kampuni hiyo (SSB Group of Companies) kuhakikisha wale wote wanaohusika na upotevu huo wanachukuliwa hatua na kodi yote ya serikali inalipwa na wamiliki wote wa makontena yaliyohusika katika upotevu huo wanawajibish...
Image
M/Kiti CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe akifatana na alikuwa mgombea urais wa chama hicho Mhe. Edward Lowassa pamoja na viongozi mbalimbali wakitazama eneo ambalo Alphonce Mawazo alifanyiwa kitendo ya kinyama cha kukatwakatwa mapanga na watu wanaosemekana ni wafuasi wa CCM ikiwa ni umbali mchache kutoka kutuo cha polisi na ofisi za CCM katika barabara kuu inayoelekea Geita kutokea Busanda.